Kongo: Udhalilishaji na ubakaji katika migodi ya dhahabu | Masuala ya Jamii | DW | 19.03.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Kongo: Udhalilishaji na ubakaji katika migodi ya dhahabu

Tunaelekeza macho yetu kwenye machimbo ya migodi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambako mwandishi wetu Mitima Delachance ametembelea na kukutana na kadhia ya watoto wa kike wenye umri wa kati ya miaka 14 na 17 huko Kamituga katika wilaya ya Mwenga, wakisimulia visa vya unyanyasaji wa kingono, udhalilishaji na ubakaji wanavyokabiliana navyo katika migodi ya dhahabu.

Sikiliza sauti 02:50