1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sanaa

Kombe la Bwana Harusi wa Kidigo

Faiz Musa Abdalla23 Januari 2020

Kombe ni aina ya chakula maalum kinacholiwa na Bwanaharusi baada ya kufunga ndoa katika jamii ya wadigo nchini Kenya. Makala ya Tamaduni na Sanaa Faiz Mussa anaangazia utamaduni huo na kukualika japo kwa kifikra kukionja chakula cha Kombe kinacholiwa na Bwanaharusi.

https://p.dw.com/p/3WgkK