Kiswahili Kina Wenyewe: Kiswahili kama lugha ya Afrika | Media Center | DW | 27.11.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Kiswahili Kina Wenyewe: Kiswahili kama lugha ya Afrika

Je, Kiswahili kinaweza kweli kuwa lugha ya bara zima la Afrika? Profesa Aldin Mutembei wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ana mawazo hayo na hapa anamueleza Mohammed Khelef jinsi ndoto hiyo itakavyotimia.

Sikiliza sauti 08:24