1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sanaa

Kipaji kina nafasi gani katika kuondoa ukosefu wa ajira?

Grace Kabogo
22 Septemba 2020

Wakati Dunia ikiwa inakabiliwa na tatizo la ajira hususan kundi la vijana, vipaji mbalimbali vimekuwa vikitumika katika kukabiliana na changamoto hiyo. Nyimbo, tambo, Ufumaji, uchongaji na uchoraji ni miongoni mwa sanaa wanazozitumia katika kujiajiri wenyewe na hata watu wengine.

https://p.dw.com/p/3iq5m