1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinaya cha kuekeza Kenya

12 Oktoba 2020

Maelfu ya watu wamepoteza makazi na mali za mamilioni kuharibiwa katika ubomoaji wa nyumba zilizo kwenye ardhi ya Shirika la Reli Kenya huko Nakuru. Operesheni hiyo imefuatia mchakato wa kufufua reli katika maeneo yaliyositishwa huduma hiyo miongo mitatu iliyopita. Ingawa serikali inasema ilitoa muda wa siku 90, waathirika wanalalamika hasa baada ya biashara nyingi kudorora kutokana na COVID 19.

https://p.dw.com/p/3jnQz