Kinagaubaga na Suleiman Shahbal, gwiji la siasa Mombasa
Suleiman Shahbal ni mmoja wa vigogo wa siasa katika mji wa Mombasa nchini Kenya. Katika kuelekea uchaguzi mkuu nchini humo, mwandishi wetu Fathiya Omar alikutana na mwanasiasa huyo mashuhuri na kuzungumza naye Kinagaubaga.