Kilimo bila Kemikali | Masuala ya Jamii | DW | 10.06.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Kilimo bila Kemikali

Taasisi ya Mafunzo ya ZEF mjini Bonn, Ujerumani iliandaa warsha kuhusu nji aza kuendeleza kilimo pasi na kutumia kemikali Jumatatu (01.06.2015)

Juhudi za kulinda mazingira zinazidi kuimarishwa kote duniani. Taasisi ya Milenium Institute yenye makao yake jijini Washington DC, inaendeleza harakati za kuwahamasisha wakulima kote duniani kuhusu njia za kuendeleza kilimo bila kutumia kemikali, ili kuepusha athari zake kwa mazingira. Geoffrey Mung’ou alizungumza na Juliet Wanjiku Kamau wa ZEF - Bonn.

Kusikiliza mahojiano haya bonyeza alama ya spika hapo chini.

Mwandishi:Geoffrey Mung'ou

Mhariri:Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com