Kijiji kilichotazamwa kama alama ya mgawanyiko kwa Ujerumani | Masuala ya Jamii | DW | 09.10.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Kijiji kilichotazamwa kama alama ya mgawanyiko kwa Ujerumani

Mödlareuth ni kijiji ambacho kimegawanyika kiutawala baina ya majimbo mawili ya Ujerumani. Sehemu moja jimbo la Bavaria na sehemu nyingine Thuringia. Kijiji hichi kinatazamwa kama alama ya mgawanyiko kwa Ujerumani kwa sababu hadi 1990 sehemu moja ilikuwa upande wa iliyokuwa Ujerumani Mashariki na mwingine Magharibi.

Sikiliza sauti 02:07