1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kijana wa Kikenya atafuta suluhisho la usalama

Grace Kabogo
26 Januari 2022

Kujisikia salama kunaimarisha biashara yako na ni bora kwa afya yako, ndivyo anavyoamini Brian Kimani. Kijana wa Kikenya, Brian Kimani ambaye amevumbua kifaa cha usalama kukufanya ujisikie salama ukiwa nyumbani na kazini; wakati wowote.

https://p.dw.com/p/467Qx