Kigoma: Zaidi ya watoto 300 wanaishi katika mazingira hatarishi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 19.03.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Kigoma: Zaidi ya watoto 300 wanaishi katika mazingira hatarishi

Tunaelekea magharibi mwa Tanzania, ambako tunaelezwa kuwa zaidi ya watoto 300 wanaishi katika mazingira hatarishi ikiwemo kutumikishwa kingono katika wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma. Ungana na mwandishi wetu wa huko, Prosper Kwigize kwenye ripoti hii.

Sikiliza sauti 03:36