1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mbowe imeahirishwa

Hawa Bihoga1 Septemba 2021

Kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili Freeman Mbowe katika Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imeahirishwa hadi Septemba 3, 2021. Sikiliza ripoti ya Hawa Bihoga kutoka Dar es Salaam.

https://p.dw.com/p/3zmqu