Kenyatta akosolewa kufuta kazi bodi ya shirika la feri, Kenya
Mashirika ya kijamii na viongozi wa kidini mjini Mombasa, Kenya wamemtaka Rais Uhuru Kenyatta kuchukua hatua za dharura za kisheria dhidi ya usimamizi wa shirika la Huduma za Feri badala ya kila mara kuivunja bodi ya shirika hilo panapotokea ajali.
Sikiliza sauti
02:12
Shirikisha wengine
Kenyatta akosolewa kufuta kazi bodi ya shirika la feri