Kenya yawapa tembo majina | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 11.10.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Kenya yawapa tembo majina

Je ungetaka tembo kupewa jina lako? Basi Kenya imeanzisha kampeni ya kuwapa ndovu majina lakini kwa malipo. Fedha kutokana na kampeni hiyo zitalenga uhifadhi wa wanyama hao na kuepusha migogoro baina ya wanyama pori na tembo.