Matangazo
Ni takribani miaka miwili tangu mtaala huo mpya wa elimu kuanza kutumika nchini Kenya. Hasira zimezuka kwavile baadhi ya watu tayari wameshanunua vitabu vipya kwa ajili ya mtaala huo wa elimu. Sikiliza mahijiano ya Dw na Dk. Andrew Rasugu Riechi, mjumbe wa tume iliyounda mtaala huo.