1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya yanuwia kufufua kilimo cha pamba

Bernard Maranga M M T/6 Novemba 2019

Kenya inajaribu kufufua uzalishaji wa zao la pamba baada ya kususua kwa miaka chungu nzima. Kiwanda kipya cha kutengeneza nguo kimezinduliwa na kinatoa hamasa mpya kwa wakulima kuanza tena uzalishaji wa pamba. Makala yetu leo inapoangazia mikakati kuipiga jeki tena sekta ya pamba Kenya. Ungana na Bernard Maranga.

https://p.dw.com/p/3SZgR