Kenya kupiga kura ya maoni kuhusu katiba? | Media Center | DW | 19.07.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Kenya kupiga kura ya maoni kuhusu katiba?

Tume ya Kusimamia Mipaka na Uchaguzi nchini Kenya (IEBC) imeidhinisha sahihi milioni 1.2 zilizowasilishwa na chama cha Thirdway Alliance kwa lengo la kuyafanyia katiba marekebisho. Mwenyekiti wa Tume hiyo Wafula Chebukati amesema kuwa tume yake imetimiza matakwa yote yanayohitajika. Sikiliza taarifa ya Shisia Wasilwa.

Sikiliza sauti 02:32