Kenya kufanya sensa ya ndovu | Media Center | DW | 20.02.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Kenya kufanya sensa ya ndovu

Shirika la Huduma kwa Wanyama Pori la Kenya limezindua sensa maalumu ya kuhesabu ndovu na wanyama wengine wakubwa katika hifadhi ya wanyama pori ya Tsavo Magharibi, iliyopo katika mpaka wa kati ya Tanzania na Kenya. Lengo ni kuweza kutambua na kuweka rekodi ya idadi kamili ya ndovu na wanyama wengine wakubwa, pamoja na kutathmini athari za ujangili na mabadiliko ya tabianchi kwa wanyama hao.

Tazama vidio 00:15