1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Kanivali

Kanivali ni wakati wa sherehe zinazoadhimishwa katika ulimwengu wa Kikristu wa Magharibi kuelekea kipindi cha kufunga. Matukio yake makuu huwa yanatokea katika miezi ya Februari au mwanzoni mwa Machi.

Kanivali ambayo awali kilikuwa kipindi cha sherehe za kidini, kimekuwa mmoja ya sherehe za umma, abacho mara nyingi kinahusisha magwaride ya matembezi na karamu za mitaani. Sherehe kubwa zaidi duniani zinafanyika katika mji wa Rio de Jenairo nchini Brazil. Nchini Ujerumani, eneo la Rheine ni kituo muhimu cha kile kinachoitwa "Kanivali." Hapa unawez kupata mkusanyiko w amaudhui za DW kuhusu Kanivali.