Kampeni ya polisi kutunza amani Kenya | Matukio ya Afrika | DW | 24.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

baada ya uchaguzi

Kampeni ya polisi kutunza amani Kenya

Idara ya utawala kwenye jeshi la polisi inaendesha kampeni ya kuhimiza amani kote nchini, kwa kuandaa mashindano ya michezo kati ya polisi, wanasiasa na wananchi pamoja na maandamano ya amani.

Sikiliza sauti 02:33
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Ripoti ya Wakio Mbogho kutoka Nakuru

                     

Sauti na Vidio Kuhusu Mada