1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kampeni ya Ndoto halisi kuwasaidia wasichana

Sylvia Mwehozi
24 Novemba 2021

Anatambulika kama "dada mkubwa" kwa wasichana na pia kioo cha jamii kwa vijana na hata wanawake wa pwani. Si mwengine bali ni Nadia Ahmed, waziri msaidizi katika wizara ya habari, kutoka Mombasa, pwani ya Kenya. Kurunzi Wanawake leo inamulika kampeni yake ya Ndoto Halisi katika vidio iliyoandaliwa na Fathiya Omar. #kurunziwanawake

https://p.dw.com/p/43QRQ