JamiiKampeni ya "Acha Gun Shika Mic"To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiJosephat Charo20.08.201820 Agosti 2018Suala la ukosefu wa usalama ni kati ya matatizo makubwa mjini Mombasa, Kenya. Changamoto hii imewaathiri sana vijana wa Pwani ya Kenya. Baadhi wameingilia uhalifu na kubaki kuwahangaisha wakazi hasa katika maeneo ya mji wa kale, Kisauni, na Majengo.https://p.dw.com/p/33PdjMatangazoKutoka kushoto, Kelvin Omondi a.k.a Ohms Law Montana, Fathiya Omar, Krispee, John Tsuma Mumba na Ali RashidPicha: DW/F. OmarFathiya Omar, mwenye buibui, akiwa na vijana wanaofanya kampeni ya "Acha Gun Shika Mic" eneo la Fort Jesus, MombasaPicha: DW/F. OmarFathiya Omar, mwenye buibui, akiwa na vijana wanaofanya kampeni ya "Acha Gun Shika Mic" eneo la Fort Jesus, MombasaPicha: DW/F. Omar