Jumuiya ya kimataifa yajitosa kusuluhisha mzozo wa Ghuba ya Uarabu | Media Center | DW | 06.06.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Jumuiya ya kimataifa yajitosa kusuluhisha mzozo wa Ghuba ya Uarabu

Polisi ya Uingereza yachapisha picha za watu 3 waliofanya mashambulizi ya kigaidi mjini London, Kuwait na Uturuki zaongoza miito ya kimataifa kutaka suluhisho katika mzozo wa Ghuba ya Uarabu, na Rambi rambi zaendelea kumiminika kuomboleza kifo cha mchezaji wa kimataifa wa Cote d'Ivoire, Cheick Tiote aliyefariki Jumatatu akiwa na umri wa miaka 30. Papo kwa Papo 06.06.2017

Tazama vidio 02:07
Sasa moja kwa moja
dakika (0)