1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jumuiya ya Afrika Mashariki yazindua kituo cha kimataifa cha Amani

Veronica Natalis
7 Februari 2023

Jumuiya na Afrika Mashariki imezindua kituo cha kimataifa cha Amani kitakachokuwa kinafanya tafiti na kutoa mafunzo yanayohusu masuala ya amani na usuluhishi wa migogoro miongni mwa nchi wanachama. Taasisi hiyo imepewa jina la Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kama juhudi za kudumisha na kuenzi Amani alizokuwa nazo baba wa Taifa la Tanzania hayati Mwalimu Nyerere.

https://p.dw.com/p/4NBj8