1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Juhudi za kuwasaidia wanamichezo walemavu Kenya

30 Septemba 2021

Kikundi cha Shauri Moyo Self Help Group ni cha watu walio na ulemavu wa aina tofauti na wanatengeza vigari na baiskeli maalum za usafiri jijini Nairobi kuwasaidia wenzao walio na ulemavu.#Kurunzi

https://p.dw.com/p/416Ti