1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Juhudi za kufufua kilimo cha pareto nchini Kenya

Wakio Mbogho / MMT10 Novemba 2021

Wakulima wa pareto nchini Kenya wamepata nguvu mpya, kufuatia kampeini ya wajumbe wao wanaoshinikiza kusitishwa kwa matumizi ya dawa za kuua wadudu zinazotoka mataifa ya nje zinazoaminika kuwa hatari na badala yake, wanataka kilimo cha pareto kifufuliwe. Mengi zaidi ni kwenye Makala Yetu Leo.

https://p.dw.com/p/42oTG