Jishindie zawadi na DW!
4 Januari 2017Matangazo
Tumeuanza mwaka wa 2017 kwa kishindo!
Dimba kubwa kabisa la kandanda barani Afrika – AFCON linang’oa nanga Januari 14! Na ili kujishindia zawadi murwa kabisa, tuambie ni taifa gani mwenyeji wa michuano hiyo ya Kombe la Mataifa ya Afrika
Jee, ni Ghana, Zambia au Gabon?
Tuma jibu lako sahihi kwa kutumia barua pepe
kiswahili@dw.com
DW Kiswahili, tunavuma kwa kishindo!