SiasaUgandaJeshi la Uganda linavyojihusisha kwa karibu na uchaguzi mkuuTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaUgandaSaumu Mwasimba08.01.20268 Januari 2026Uganda iko chini ya siku sita kuelekea uchaguzi mkuu wa rais, bunge na udiwani. Lawama zinaelekezwa kwa jeshi linaloongozwa na Muhoozi Kainerugaba kwa madai ya kuingilia mchakato wa uchaguzi na kuwanyanyasa wapinzani.https://p.dw.com/p/56XQlMatangazo