1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, uhuru wa vyombo vya habari uko hatarini nchini Kenya?

Zainab Aziz
22 Machi 2023

Baraza la vyombo habari nchini Kenya pamoja na jukwaa la wahariri limelaumu na kupinga kauli ya muungano wa Azimio la Umoja unaoongozwa na Raila Odinga inayowataka wananchi wasusie baadhi ya vyombo vya habari. Kauli hiyo imelaaniwa na kupingwa vikali. Je, msimamo wa vyombo vya habari ni upi? Zainab Aziz amezungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la vyombo vya habari nchini Kenya, David Omwayo.

https://p.dw.com/p/4P3Rd