1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, serikali imeamua kupambana na ufisadi Kenya?

13 Agosti 2018

Maafisa wawili wakuu wa idara mbili za serikali nchini Kenya wamefikishwa mahakamani leo, kujibu mashtaka yanayohusiana na madai ya rushwa. Maafisa hao mwenyekiti wa Tume ya Ardhi nchini humo Mohammed Swazuri na Mkurugenzi mtendaji wa shirika la reli Atanas Maina wamekamatwa na Tume ya maadili na kupambana na ufisadi Kenya EACC. Sikiliza mahojiano yaliyofanywa na John Juma.

https://p.dw.com/p/334Zp