1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, Rais Kenyatta anampigia debe Odinga?

13 Desemba 2021

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta alitoa ishara ya kumuunga mkono kiongozi wa chama cha Orange Democratic Movement- ODM Raila Odinga kuwania nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa matumaini ya kurithi nafasi yake baada ya yeye kuondoka. Amina Abubakar amezungumza na mchambuzi wa siasa Martin Oloo

https://p.dw.com/p/44BJe