1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je ni ipi mipaka ya mamlaka ya Makonda?

Amina Mjahid
6 Mei 2020

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa masaa 24 kwa wabunge wote kurejea bungeni Dodoma, kinyume na amri hiyo atawatia mbaroni. Suali hapa ni je Makonda ana nguvu ya kufanya hivyo kisheria? Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS-Dk. Rugemeleza Nshala analijibu hilo katika mahojiano aliyofanyiwa na Sudi Mnette

https://p.dw.com/p/3brZD