Je, demokrasia imeifelisha Tanzania? | Media Center | DW | 24.02.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Je, demokrasia imeifelisha Tanzania?

Wakati matukio ya mauaji, utekaji na utesaji yanayohusishwa moja kwa moja na siasa nchini Tanzania yakiendelea na taifa hilo kubwa kabisa la Afrika Mashariki likionekana kugawanyika kila baada ya uchaguzi mmoja kwenda mwengine, DW inaweka swali moja kubwa mezani hivi leo kwenye kipindi cha Maoni Mbele Meza ya Duara: "Je, demokrasia imeifelisha Tanzania?"

Sikiliza sauti 39:00