1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Janga la ukame laathiri maeneo ya Kilifi

26 Septemba 2022

Chakama ni mojawapo ya maeneo yanayokabiliwa na ukame mkubwa hapa Kilifi kutokana na upungufu wa mvua, hali ambayo imeathiri wenyeji pakubwa huku wengine wakigeukia kula matunda ya porini ili kuishi.

https://p.dw.com/p/4HN0U