Ili kuajiriwa, muhimu ni umjuae au unachojua? | Media Center | DW | 20.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Ili kuajiriwa, muhimu ni umjuae au unachojua?

Vijana mjini Lagos Nigeria wanazungumzia suala la ajira, je kupata ajira ni sharti uwe unamfahamu mtu aliye katika ngazi ya uongozi au tajriba yako inatosha kukupa kazi?

Tazama vidio 01:47
Sasa moja kwa moja
dakika (0)