IEBC yatakiwa kuimarisha mfumo wa uchaguzi | Mada zote | DW | 20.09.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

IEBC yatakiwa kuimarisha mfumo wa uchaguzi

Mahakama ya Juu nchini Kenya imeiamuru tume ya uchaguzi ya IEBC kuandaa mfumo wa ziada wa kuupa nguvu zaidi uliopo wakati uchaguzi mpya wa rais unasubiriwa. Majaji waliosikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais wametoa ufafanuzi wa hukumu yao.

Sikiliza sauti 02:20
Sasa moja kwa moja
dakika (0)