Hivi Ulaya ndio kuna maisha mazuri? | Media Center | DW | 01.12.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Hivi Ulaya ndio kuna maisha mazuri?

Kijana hebu tushirikishane. Mbona vijana wengi hivi sasa wanataka kwenda Ulaya kusaka maisha? Hivi ni kweli Ulaya ndio kunapatikana maisha mazuri? Na nani unamtumia kama mtu wako wa mfano ama "Role model" kulithibitisha hili? Tizama video hii kisha tupe maoni yako.

Tazama vidio 01:05
Sasa moja kwa moja
dakika (0)