Hillary Clinton ndiye mgombea urais wa Democrats | Anza | DW | 27.07.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Hillary Clinton ndiye mgombea urais wa Democrats

Hillary Clinton ateuliwa rasmi kuwa mgombea urais wa chama cha Democrats Marekani, Viongozi wa dini Ufaransa watoa wito wa amani na mshikamano baada ya mauaji ya Kasisi Kanisani, Umoja wa Mataifa wamuonya Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir baada ya kumteua Makamu mpya wa Rais.

Tazama vidio 00:26
Sasa moja kwa moja
dakika (0)