HANOI: Wapiga kura wachagua bunge nchini Vietnam | Habari za Ulimwengu | DW | 20.05.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

HANOI: Wapiga kura wachagua bunge nchini Vietnam

Nchini Vietnam hii leo kumefanywa uchaguzi wa bunge.Takriban watu 900 wanagombea kuiniia katika bunge lenye viti 500.Baadhi kubwa yao,ni wa chama tawala pekee cha Kikomunisti.Serikali,imetoa wito kwa raia wote wenye haki ya kupiga kura,kuitumia haki hiyo kuchagua bunge jipya,kwani uchaguzi ni msingi muhimu wa demokrasia.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com