1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali halisi Turkana kwa mujibu wa Gavana Nanok

Shisia Wasilwa/ MMT8 Oktoba 2019

Kipindi cha Kinagaubaga leo kinatua katika jimbo la Turkana nchini Kenya. Shisia Wasilwa anamhoji gavana wa jimbo hilo Josephat Nanok kuhusu masuala kadha wa kadha.

https://p.dw.com/p/3QskE