1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Gumzo la Der Klassiker, Bellingham kuchunguzwa

Josephat Charo
6 Desemba 2021

Bayern Munich watamba katika pambano la Der Klassiker. Shirikisho la soka DFB lachunguza kauli za Jude Bellingham. Kibarua cha kocha wa RB Leipzig Jesse Marsh chaota majani. Wekundu wa Msimbazi Simba wafuzu hatua ya makundi kombe la shirikisho barani Afrika.

https://p.dw.com/p/43u0X