1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Fukushima

Fukushima, Japan, ndiyo palikuwa mahaka pa ajali kubwa ya nyuklia, iliyosababishwa na tetemeko kubwa na tsunami Machi 11, 2011. Tsunami ilisababisha kufurika kwa mtambo wa nyuklia na kupelekea maafa makubwa.

Tetemeko lenye ukubwa la 9 kwenye kipimo cha richter na tsunami iliofuatia vilisababisha vifo vya watu 20,000 nchini Japan. Uharibifu uliosababishwa kwenye mtambo wa nyuklia wa Fukushima Daichi ukapelekea janga baya kubwa kabisaa la kinyuklia tangu ajali ya Chernobyl. Kazi bado inaendelea kusafisha mtambo huo na kuwarejesha wakaazi kwenye majumba yao karibu na kiwanda. Ukurasa huu unakusanya maudhui ya DW kuhusu Fukushima.

Onesha makala zaidi