1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Freiburg yapoteza mechi ya kwanza Bundesliga

Josephat Charo
8 Novemba 2021

RB Leipzig yaisakama Borussia Dortmund huku mabingwa watetezi Bayern Munich wakiwaambia Freiburg hapa ndio mwisho wa kutoshindwa kwenu mechi msimu huu wa 59 wa Bundesliga. Bochum yaishangaza Hoffenheim. Katika La Liga Barcelona yamkaribisha kocha mpya kwa sare dhidi ya Celta Vigo. Ligi kuu Tanzania bara yasimama kupisha ratiba ya mechi za kimataifa huku Taifa Stars wakiwa na miadi na DR Congo.

https://p.dw.com/p/42jWs