1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Eneo la Ondiri nchini Kenya liko hatarini kukauka

Sylvia Mwehozi
13 Septemba 2018

Eneo chepechepe la Ondiri ni muhimu kwa wakazi wa mji wa Kikuyu na jiji la Nairobi nchini Kenya kwani ni vyanzo vya maji na ni la pili kwa kima cha urefu barani Afrika baada ya lile lililoko mjini Doula nchini Cameroon. Lakini sasa linakabiliwa na kitisho cha kuchafuka na kukauka.Ungana na Bernard Maranga katika makala ya mtu na mazingira.

https://p.dw.com/p/34nUU