1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Edong'aa: Pale mifugo inapotaka kuimbiwa

Michael Kwena/MMMT3 Desemba 2020

Umekwishawahi kuusikia utamaduni wa kuwaimbia mifugo au hata mali zako, halafu nyimbo hizo zinaambatana na densi? Najua ni kitu kipya miongoni mwa wengi lakini huko Turkana nchini Kenya utamaduni huu upo sana na huitwa Edong'aa. tafadhali sikiliza makala haya ya utamaduni na sanaa kujua kulikoni kuwaimbia mifugo na mali?

https://p.dw.com/p/3m9wP