1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Ebola

Ebola ni kirusi chenye asili yake katika wanayamapori huko afrika Magharibi. Kinaambukizwa kupitia majimaji ya mwili na husababisha kifo kwa kiwango cha karibu asilimia 50.

Maradhi ya Ebola yaligundulika mwaka 1976 na hadi sasa bado hakuna tiba maalumu wala chanjo. Muda ya ugonjwa huo kujitokeza ni kati ya siku mbili hadi wiki tatu. Dalili zake ni pamoja na homa, kuharisha na kutokwa damu ndani na nje ya mwili. Ebola haiambukizwi kupitia uvutaji hewa, lakini inasambaa haraka. Wakati kirusi hicho kinauawa kwa haraka kupitia matumizi ya sabuni na maji, wale wanaoambukizwa wanapaswa kuweka karatini kuepusha kuenea. Maudhui za hivi karibuni kuhusu kirusi hicho ziko hapa.

Onesha makala zaidi