1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maambukizi ya Ebola Uganda yaingia mashuleni

27 Oktoba 2022

Wasimamizi wa shule na wazazi nchini Uganda wako katika mashaka kufuatia taarifa za maambukizi ya Ebola katika shule tatu ambapo wanafunzi sita wamethibitishwa kuugua. Wizara ya afya imechukua hatua ya kuwaweka karantini wanafunzi 170 mjini Kampala ambao inasemekana walitangamana na waathirika hao sita. isikilize ripoti ya mwandishi wetu Lubega Emmanuel kutoka Kampala.

https://p.dw.com/p/4IkTr