1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DW Michezo 02:08:2021

2 Agosti 2021

Mataifa ya Afrika Mashariki yanaendelea kupata wakati mgumu kushinda medali katika michezo ya Olimpiki huko Japan. Mwanariadha wa Belarus Krystina Tsimanauskaya amepata hifadhi nchini Poland baada ya kudai timu yake ilitaka kumrudisha nyumbani kwa lazima. Gor Mahia na AFC lEorpars wasusia Derby ya masheji ya 91.

https://p.dw.com/p/3yRYg