1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC yaanza hatua kuishtaki Rwanda ikidai inapora madini yake

Sudi Mnette
24 Mei 2023

Kuhusu hatua ya DRC kuwasilisha tena kesi katika mahakama ya kimataifa ICC dhidi ya Rwanda kwa kudai nchi hiyo imepora madini yake. Sudi Mnette amezungumza na mwanasheria Juvin Kombi akiwa mjini Goma. kutaka kujua DRC ina matarajio gani katika kesi hiyo. Sikiliza.

https://p.dw.com/p/4RkUn