Dawa za kuua wadudu na athari zake kwa nyuki | Media Center | DW | 31.01.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Dawa za kuua wadudu na athari zake kwa nyuki

Matumizi ya dawa za kuwaua wadudu wanaoshambulia mimea ya vyakula yamewaweka baadhi ya wadudu muhimu hatarini mfano nyuki. Aghalabu dawa zinazotumiwa zimepigwa marufuku barani Ulaya ila zinatumika barani Afrika. Makala ya Mtu na Mazingira hii leo inaangazia sumu ya dawa za kuua wadudu na athari zake kwa nyuki. Msimulizi ni Thelma Mwadzaya.

Sikiliza sauti 09:51