1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dana Dana za soka la Ujerumani na Bundesliga

Josephat Charo
25 Machi 2024

Ujerumani inakwaana na Uholanzi katika pambano la kupimana nguvu Jumanne (26.03.2024). Ujerumani inateremka dimbani baada ya kupata ushindi uliowafurahisha mashabiki wa 2-0 dhidi ya Ufaransa. Katika Bundesliga Bayern Munich inakwaana na Borussia Dortmund katika Der Klassiker. Josephat Charo anahojiwa na Saumu Njama.

https://p.dw.com/p/4e6GT